-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hao wote watajibu na kukuambia, Je! wewe nawe umekuwa dhaifu kama sisi! Wewe nawe umekuwa kama sisi!
-
-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Waidhihaki serikali inayotawala ya Babiloni, ambayo sasa haijiwezi, ikiwa imelala kwenye kitanda cha funza badala ya kitanda chenye bei ghali, ikiwa imefunikwa na vidudu badala ya vitani vyenye bei ghali.
-