-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Fahari yako imeshushwa hata kuzimu, na sauti ya vinanda vyako; funza wametandazwa chini yako, na vidudu vinakufunika.” (Isaya 14:9-11)
-
-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Waidhihaki serikali inayotawala ya Babiloni, ambayo sasa haijiwezi, ikiwa imelala kwenye kitanda cha funza badala ya kitanda chenye bei ghali, ikiwa imefunikwa na vidudu badala ya vitani vyenye bei ghali.
-