Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Shauri la Yehova Dhidi ya Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 8. (a) Mataifa fulani leo yamekuwaje kama Ufilisti? (b) Yehova amefanya nini ili kuwasaidia watu wake leo, kama alivyofanya nyakati za kale?

      8 Sawa na Ufilisti, mataifa fulani leo huwapinga vikali waabudu wa Mungu. Mashahidi Wakristo wa Yehova wametupwa magerezani na katika kambi za mateso. Wamepigwa marufuku. Baadhi yao wameuawa. Wapinzani wazidi ‘kuishambulia nafsi yake mwenye haki.’ (Zaburi 94:21) Machoni pa adui zao, kikundi hicho cha Wakristo huenda kikaonekana kuwa “maskini” na “wahitaji.” Hata hivyo, kwa msaada wa Yehova, wao hufurahia chakula kingi cha kiroho, huku adui zao wakidhikika kwa njaa. (Isaya 65:13, 14; Amosi 8:11) Yehova atakaponyosha mkono wake dhidi ya Wafilisti wa siku za kisasa, “maskini” hao watakuwa salama. Wapi? Kwa kushirikiana na ‘nyumba ya Mungu,’ ambamo Yesu ndiye jiwe la pembeni la msingi lililo thabiti. (Waefeso 2:19, 20) Nao watakuwa chini ya ulinzi wa “Yerusalemu la kimbingu,” Ufalme wa Yehova wa mbinguni, ambapo Yesu Kristo ndiye Mfalme wake.—Waebrania 12:22; Ufunuo 14:1.

  • Shauri la Yehova Dhidi ya Mataifa
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • “Walio maskini”—ufalme wa Yuda uliofifia—wapata kufurahia usalama na wingi wa mali, huku Ufilisti ikidhikika kwa njaa.—Soma Isaya 14:30,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki