Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Na Tunyoshe Mambo”
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Kwa maana watatahayarika kwa sababu ya mialoni [“miti mikubwa,” “NW”] mliyoitamani, nanyi mtaaibishwa kwa sababu ya bustani mlizozichagua.” (Isaya 1:28, 29)

  • “Na Tunyoshe Mambo”
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hata hivyo, miti na bustani inayorejezewa yamaanisha nini?

      30 Wayudea wana tatizo lenye kudumu la ibada ya sanamu. Mara nyingi miti, bustani, na vichaka vyaonekana katika mazoea yao machafu. Kwa kielelezo, waabudu wa Baali na Ashtorethi mkewe waamini kwamba miungu hiyo miwili imekufa na kuzikwa wakati wa kiangazi. Ili kuiamsha ipate kujamiiana na kurutubisha nchi, waabudu-sanamu hao wakusanyika ili kutenda matendo mapotovu ya kingono chini ya miti “mitakatifu” katika vichaka au bustani. Mvua na rutuba zijapo nchini, miungu hiyo isiyo ya kweli yasifiwa; nao waabudu-sanamu hao waona kuwa wamethibitisha ushirikina wao. Lakini Yehova awaangamizapo waabudu-sanamu hao waasi, hakuna miungu yoyote ya sanamu inayowalinda. Waasi hao ‘waaibishwa’ kwa sababu ya miti na bustani hizo zisizo na uwezo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki