-
Shauri la Yehova Dhidi ya MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Naye BWANA atapiga Misri, akipiga na kuponya; nao wakirudi kwa BWANA, atakubali maombi yao na kuwaponya.” (Isaya 19:21, 22)
-
-
Shauri la Yehova Dhidi ya MataifaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Baada ya ‘pigo’ ambalo Yehova atapiga mfumo huu wa mambo kwenye Har–Magedoni, atautumia Ufalme wake ili kuponya jamii ya kibinadamu. Wakati wa Utawala wa Yesu wa Mileani, jamii ya kibinadamu itainuliwa kufikia ukamilifu wa kiroho, kiakili, kiadili, na kimwili—uponyaji ulioje!—Ufunuo 22:1, 2.
-