-
“Babeli Umeanguka”!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
12. Mlinzi kwenye maono ya Isaya adhihirisha sifa gani, na ni nani wanaohitaji sifa hizo leo?
12 Basi, mlinzi alazimika kutoa ripoti. “Akalia kama simba, Ee Bwana, mimi nasimama daima juu ya mnara wakati wa mchana, na kila usiku ninakaa katika zamu ya ulinzi wangu.
-
-
“Babeli Umeanguka”!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Mlinzi huyo kwenye maono atangaza kwa moyo mkuu, “kama simba.” Yahitaji moyo mkuu ili kutangaza ujumbe wa hukumu dhidi ya taifa lenye kutisha kama vile Babiloni. Jambo jingine lahitajika pia—uvumilivu. Mlinzi asimama mahali pake usiku na mchana, pasipo kuruhusu kamwe kukesha kwake kufifie. Vivyo hivyo, jamii ya mlinzi katika siku hizi za mwisho imehitaji moyo mkuu na uvumilivu. (Ufunuo 14:12) Wakristo wote wa kweli wahitaji sifa hizo.
-