-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kisha alikiondoa kifuniko cha Yuda.” (Isaya 22:7, 8a)
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Huenda ni lango fulani la jiji hilo, ambalo kutekwa kwake ni ishara ya mabaya kwa walinzi.c Kifuniko hicho chenye ulinzi kiondolewapo, jiji labaki wazi ili washambuliaji waingie.
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
c Au, huenda usemi “kifuniko cha Yuda” warejezea kitu kingine tofauti kinacholinda jiji, kama vile ngome ambazo ni hifadhi za silaha na makao ya wanajeshi.
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
“Nawe siku hiyo ulivitazama vyombo vya vita katika nyumba ya mwituni.
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Silaha zimewekwa katika ghala ya silaha kwenye nyumba ya mwituni. Solomoni ndiye aliyeijenga ghala hiyo ya silaha. Kwa kuwa ilijengwa kwa mierezi kutoka Lebanoni, ilikuja kuitwa “nyumba ya mwitu wa Lebanoni.” (1 Wafalme 7:2-5)
-