-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Nanyi mlipaona mahali palipobomoka katika mji wa Daudi ya kuwa ni pengi, nanyi mliyakusanya maji ya birika la chini.” (Isaya 22:8b, 9)
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Mahali palipobomoka ukutani pachunguzwa. Maji yakusanywa—hatua muhimu ya kujilinda. Watu hao wanahitaji maji ili kuishi. Pasipo maji, jiji haliwezi kudumu. Hata hivyo, ona kwamba haitajwi popote kuwa wanamtegemea Yehova ili kupata ukombozi. Badala yake, wanazitegemea njia zao wenyewe. Na tusifanye kamwe kosa kama hilo!—Zaburi 127:1.
-