Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • na kumbe! furaha, na kuchekelea, na kuchinja ng’ombe, na kuchinja kondoo, na kula nyama, na kunywa mvinyo; tule, tunywe, kwa maana kesho tutakufa.” (Isaya 22:12, 13)

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Badala yake, wajiachilia wenyewe na kuingilia furaha yenye anasa. Mtazamo kama huo leo umo miongoni mwa watu wengi wasiomwamini Mungu. Kwa kuwa hawana tumaini lolote—ama la ufufuo wa wafu au la Paradiso ya wakati ujao—wao hufuatilia maisha ya kutimiza tamaa za kibinafsi, wakisema: “Acheni tule na tunywe, kwa maana kesho tutapaswa kufa.” (1 Wakorintho 15:32) Lo, hawafikirii mambo yajayo! Iwapo tu wangemtumaini Yehova, basi wangekuwa na tumaini lidumulo!—Zaburi 4:6-8; Mithali 1:33.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki