Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 16, 17. (a) Ni nani sasa anayepokea ujumbe wenye onyo kutoka kwa Yehova, na kwa nini? (b) Kwa sababu ya tamaa yake ya makuu, ni nini kitakachompata Shebna?

      16 Nabii sasa aacha kuzungumzia watu wasio waaminifu na kuanza kuzungumzia mtu mmoja asiye mwaminifu. Isaya aandika: “Bwana, BWANA wa majeshi, asema hivi, Haya! enenda kwa huyu mtunza hazina [“msimamizi-nyumba,” “NW”], yaani, Shebna, aliye juu ya nyumba, ukamwambie,

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 22:15,

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 17 Shebna ni ‘msimamizi-nyumba aliye juu ya nyumba,’ labda nyumba ya Mfalme Hezekia. Kwa hiyo, ana wadhifa mkubwa, wa pili kutoka kwa mfalme. Atarajiwa kufanya mengi. (1 Wakorintho 4:2)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki