-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Unafanyaje hapa? nawe una nani hapa? hata ukachimba kaburi hapa; ukamchimbia kaburi huko juu, na kumchongea makao katika jabali!”—Isaya 22:15, 16.
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ingawa hivyo, badala ya kukazia uangalifu mambo ya taifa, Shebna afuatilia utukufu wake mwenyewe. Apanga kaburi lake la anasa—kama la mfalme—lichongwe juu katika jabali.
-