-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Eliakimu, atakayechukua mahali pa Shebna, atapewa mavazi rasmi ya msimamizi-nyumba huyo pamoja na ufunguo wa nyumba ya Daudi.
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
nami nitamvika vazi lako, nitamtia nguvu kwa mshipi wako, nami nitamkabidhi yeye mamlaka yako; naye atakuwa baba kwa wenyeji wa Yerusalemu, na kwa nyumba ya Yuda.
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Basi, ofisi ya msimamizi-nyumba ni muhimu, na yeyote anayetumikia humo hutarajiwa kufanya mengi. (Luka 12:48) Huenda Shebna anastahili, lakini kwa kuwa yeye si mwaminifu, Yehova ataweka mwingine badala yake.
-