Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 19, 20. (a) Eliakimu atathibitikaje kuwa baraka kwa watu wake? (b) Ni nini kitakachowapata wale wanaoendelea kumtegemea Shebna?

      19 Hatimaye, Yehova atumia mfano kueleza kuhamishwa kwa mamlaka kutoka kwa Shebna hadi kwa Eliakimu. Ataarifu hivi: “Nitamkaza [Eliakimu] kama msumari mahali palipo imara; naye atakuwa kiti cha utukufu kwa nyumba ya baba yake.

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 22:23

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 20 Katika mistari hiyo msumari wa kwanza ni Eliakimu. Atakuwa “kiti cha utukufu” kwa nyumba ya baba yake, Hilkia. Tofauti na Shebna, hataiaibisha nyumba ya baba yake wala sifa yake.

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • [Picha katika ukurasa wa 239]

      Hezekia amfanya Eliakimu kuwa “msumari mahali palipo imara”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki