Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Katika siku ile, asema BWANA wa majeshi, ule msumari [Shebna] uliokazwa katika mahali palipo imara utalegea; nao utakatwa na kuanguka chini, na ule mzigo uliokuwa juu yake utakatiliwa mbali; maana BWANA amesema haya.”—Isaya 22:23-25.

  • Mafundisho Kuhusu Kukosa Uaminifu
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Kinyume chake, msumari wa pili wamrejezea Shebna. Ingawa huenda akaonekana kuwa imara, ataondolewa. Yeyote anayeendelea kumtegemea ataanguka.

      21. Nyakati za kisasa, ni nani, kama Shebna, ambaye mahali pake palichukuliwa, kwa nini palichukuliwa, na ni nani aliyepachukua?

      21 Mambo yaliyompata Shebna yatukumbusha kwamba miongoni mwa wale wanaodai kumwabudu Mungu, wale wanaokubali mapendeleo ya utumishi wapaswa kuyatumia kwa minajili ya kutumikia wengine na kumletea Yehova sifa. Hawapaswi kutumia vibaya cheo chao ili kujitajirisha au kupata umashuhuri wa kibinafsi. Kwa kielelezo, kwa muda mrefu Jumuiya ya Wakristo imejikweza yenyewe kuwa msimamizi-nyumba aliyeteuliwa, mwakilishi wa Yesu Kristo duniani. Hata hivyo, kama vile tu Shebna alivyomwaibisha baba yake kwa kutafuta utukufu wake mwenyewe, ndivyo viongozi wa Jumuiya ya Wakristo wamemletea Muumba aibu kwa kujikusanyia mali na mamlaka. Basi, wakati wa hukumu “kuanza na nyumba ya Mungu” ulipofika mwaka wa 1918, Yehova aliiondoa Jumuiya ya Wakristo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki