-
Yehova Aharibu Kiburi cha TiroUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hata itakuwa mwisho wa miaka sabini, BWANA ataizuru nchi ya Tiro, naye atarudi apate ujira wake, atafanya ukahaba pamoja na falme zote za ulimwengu juu ya uso wa dunia.”—Isaya 23:15b-17.
-
-
Yehova Aharibu Kiburi cha TiroUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Je, Tiro litafanikiwa? Ndiyo, Yehova atalipatia mafanikio. Baada ya muda, jiji hilo la kisiwani litapata ufanisi mwingi sana hivi kwamba mwishoni mwa karne ya sita K.W.K., nabii Zekaria atasema: “Tiro alijijengea ngome, akakusanya fedha kama mchanga, dhahabu safi kama matope ya njia kuu.”—Zekaria 9:3.
-