Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Ni Mfalme
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hofu, na shimo, na mtego, vi juu yako, Ee mwenye kukaa duniani.

  • Yehova Ni Mfalme
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Adui kutoka nje wataingia na kuwapora na kuwateka nyara. Hayo yote yamtaabisha sana Isaya.

      17. (a) Kwa nini haitawezekana kuponyoka? (b) Nguvu za hukumu ya Yehova ziachiliwapo kutoka mbinguni, ni nini kitakachotukia nchini?

      17 Ijapokuwa hivyo, ni lazima nabii atangaze kuwa haitawezekana kuponyoka. Kokote watakakojaribu kukimbilia watu, watakamatwa. Huenda wengine wakaponyoka msiba mmoja, lakini watanaswa katika mwingine—usalama hautakuwapo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki