-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
nao watakusanywa pamoja kama vile wakusanywavyo wafungwa katika shimo nao watafungwa katika gereza; na baada ya muda wa siku nyingi watajiliwa.
-
-
Yehova Ni MfalmeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Akizungumza kwa mfano, Isaya asema kwamba watakusanywa na ‘kufungwa katika gereza.’ “Baada ya muda wa siku nyingi,” labda Shetani na roho wake waovu (lakini si “wafalme wa dunia katika dunia”) waachiliwapo kwa muda mfupi mwishoni mwa Utawala wa Miaka Elfu wa Yesu Kristo, Mungu atawapa adhabu ya mwisho inayowafaa.—Ufunuo 20:3, 7-10.
-