Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wokovu kwa Wanaochagua Nuru
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Machi 1
    • 20. Yehova hulindaje kutaniko la Wakristo?

      20 Twaweza kufurahi kwamba hasira ambayo Yehova alikuwa nayo hapo awali dhidi ya watumishi wake watiwa-mafuta—iliyomfanya aruhusu wapelekwe katika utekwa wa kiroho mwaka wa 1918—imekoma. Yehova mwenyewe asema hivi: “Hasira sinayo ndani yangu; kama mibigili na miiba [“magugu,” NW] ingekuwa mbele zangu, ningepanga vita juu yake, ningeiteketeza yote pamoja.

  • Wokovu kwa Wanaochagua Nuru
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Machi 1
    • Isaya 27:4,

  • Wokovu kwa Wanaochagua Nuru
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Machi 1
    • Ili kuhakikisha kwamba shamba lake la mizabibu litaendelea kutoa “mvinyo” kwa wingi, Yehova huvunja-vunja na kuharibu uvutano wowote ulio kama magugu unaoweza kuwapotosha. Kwa hiyo, mtu yeyote asihatarishe hali njema ya kutaniko la Kikristo!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki