Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • “Walevi wa Efraimu”

      3, 4. Ufalme wa kaskazini wa Israeli wajivunia nini?

      3 Isaya aanza unabii wake kwa maneno yenye kushangaza: “Ole wa taji ya kiburi ya walevi wa Efraimu, na ua la uzuri wa fahari yake linalonyauka, lililo kichwani mwa bonde linalositawi, la hao walioshindwa na divai!

  • Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 28:1

  • Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 4 Kabila la Efraimu, ambalo ndilo mashuhuri zaidi kati ya makabila kumi ya kaskazini, lawakilisha ufalme wote wa Israeli. Samaria, jiji lake kuu, liko “kichwani mwa bonde linalositawi,” mahali pazuri penye umashuhuri. Viongozi wa Efraimu wanajivunia ‘taji yao ya kiburi’ ya kuwa huru kutokana na wafalme wa nasaba ya Daudi huko Yerusalemu. Lakini wao ni “walevi,” ulevi wa kiroho kwa sababu ya ushirikiano wao na Siria dhidi ya Yuda.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki