-
Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la YehovaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
14. “Agano na mauti” la Yuda litabatilishwa lini?
14 “Pigo lifurikalo” la majeshi ya Babiloni lipitapo nchini humo, Yehova atalifunua kimbilio la kisiasa la Yuda kuwa ni uwongo. “Agano lenu mliloagana na mauti litabatilika,” asema Yehova. “Pigo lifurikalo litakapopita, ndipo ninyi mtakapokanyagwa nalo.
-