-
Endelea Kumngojea YehovaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
3. Yehova afichua njama gani?
3 Kwa muda fulani, viongozi wa Yuda wamekuwa wakipanga njama kisiri ya kutafuta njia ya kuepuka kuwa chini ya nira ya Ashuru. Hata hivyo, Yehova amekuwa akiwatazama. Sasa aifichua njama yao: “Ole wa watoto waasi; asema BWANA; watakao mashauri lakini hawayataki kwangu mimi; wajifunikao kifuniko lakini si cha roho yangu; wapate kuongeza dhambi juu ya dhambi;
-