Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Endelea Kumngojea Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • na masikio yako yatasikia neno nyuma yako, likisema, Njia ni hii, ifuateni; mgeukapo kwenda mkono wa kulia, na mgeukapo kwenda mkono wa kushoto.”—Isaya 30:20b, 21.b

  • Endelea Kumngojea Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Ingawa hivyo, watu wawezaje ‘kumwona’ na ‘kumsikia’? Yehova hujifunua kupitia manabii wake, ambao maneno yao yamerekodiwa katika Biblia. (Amosi 3:6, 7) Leo, waabudu waaminifu wasomapo Biblia, ni kana kwamba sauti ya Mungu iliyo kama ya baba inawaelekeza njia ya kufuata na kuwasihi warekebishe mwendo wa tabia yao ili waitembee. Kila Mkristo apaswa kusikiliza kwa makini Yehova asemapo kupitia Biblia na kupitia vichapo vinavyotegemea Biblia, vinavyoandaliwa na “mtumwa mwaminifu na mwenye busara.” (Mathayo 24:45-47) Kila mmoja na ajitahidi kuisoma Biblia, kwa ‘maana ni maisha yake.’—Kumbukumbu la Torati 32:46, 47; Isaya 48:17.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki