-
Endelea Kumngojea YehovaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ng’ombe pia na wana-punda wailimao nchi watakula chakula kilichokolea, kilichopepetwa kwa ungo na kwa pepeo.” (Isaya 30:23, 24)
-
-
Endelea Kumngojea YehovaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Mifugo italishwa “chakula kilichokolea”—nyasi inayohifadhiwa kwa ajili ya vipindi maalumu. Chakula hicho hata ‘kimepepetwa’—utayarishaji ambao kwa kawaida hufanyiwa nafaka inayokusudiwa kuliwa na watu.
-