-
Mfalme na Wakuu WakeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
12. ‘Wapumbavu’ ni nani leo, nao hukosaje ukarimu?
12 Kisha unabii wa Isaya waonyesha tofauti: “Mpumbavu hataitwa tena mwungwana, wala ayari hatasemwa kwamba ni karimu.
-
-
Mfalme na Wakuu WakeUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
“Mpumbavu” ni nani? Mfalme Daudi ajibu mara mbili, kana kwamba anatilia mkazo: “Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, hakuna atendaye mema.” (Zaburi 14:1; 53:1) Bila shaka, wasioamini kuwepo kwa Mungu husema kuwa hakuna Yehova. Hali kadhalika, wengine wasemao hivyo ni watu “wenye akili” na wengineo wanaotenda kana kwamba Mungu hayuko, wakiamini kuwa hawawajibiki kwa yeyote. Watu hao hawana kweli. Mioyo yao haina ukarimu. Hawana habari njema za upendo. Tofauti na Wakristo wa kweli, wao husita kuwaandalia wahitaji wenye taabu au hawawaandalii kwa vyovyote.
-