Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 9. (a) “Mashujaa” na “wajumbe wa amani” wa Yuda watafanya nini? (b) Ashuru itaitikiaje hatua za Yuda za kutafuta amani?

      9 Hata hivyo, wasio na imani nchini Yuda watapatwa na nini? Isaya afafanua kwa njia yenye kutia hofu jinsi Ashuru atakavyowaangamiza. (Soma Isaya 33:7.) “Mashujaa” wa kijeshi wa Yuda watalia kwa hofu shambulizi la Ashuru likaribiapo. “Wajumbe wa amani,” yaani, mabalozi waliotumwa kufanya mapatano ya amani na Waashuri wenye kupenda vita, watadhihakiwa na kutwezwa. Watalia kwa uchungu kwa sababu ya kushindwa kwao. (Linganisha Yeremia 8:15.)

  • “Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 10. (a) “Mashujaa” wa Jumuiya ya Wakristo watathibitikaje kuwa wasiofaa chochote? (b) Ni nani atakayewalinda Wakristo wa kweli wakati wa siku ya taabu juu ya Jumuiya ya Wakristo?

      10 Hapana shaka hali kama hizo zitatokea karibuni, mataifa yaanzapo kushambulia dini. Kama ilivyokuwa katika siku ya Hezekia, kupambana kihalisi na majeshi hayo hakutafaa kitu. “Mashujaa” wa Jumuiya ya Wakristo—wanasiasa wake, watu wanaoipa fedha, na watu wengine wanaoichochea—hawataweza kuisaidia.

  • “Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Jitihada za majonzi za kuzuia uharibifu kupitia mapatano ya amani zitashindwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki