-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Atapuuza kwa ukatili maagano ambayo amefanya na wakazi wa Yuda. (2 Wafalme 18:14-16) Ashuru ‘ataidharau miji’ ya Yuda, akiidharau na kuidhihaki, pasipo kujali uhai wa kibinadamu.
-
-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
“Maagano” ya kisiasa na ya kifedha, yanayokusudiwa kuyalinda masilahi ya Jumuiya ya Wakristo, yatavunjwa. (Isaya 28:15-18)
-
-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Shughuli za kibiashara zitakoma, huku mali na vitega-uchumi vya Jumuiya ya Wakristo vikitwaliwa au kuharibiwa. Yeyote aliye na maoni ya kirafiki kuelekea Jumuiya ya Wakristo hatafanya lolote ila kusimama mbali na kuombolezea uharibifu wake. (Ufunuo 18:9-19)
-