-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hali itakuwa mbaya sana hivi kwamba itakuwa kana kwamba nchi yenyewe inaomboleza. Lebanoni, Sharoni, Bashani, na Karmeli vivyo hivyo zitauombolezea uharibifu huo.
-