-
Yehova Huwafedhehesha Wenye KiburiUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
17. (a) Dhambi ya Yerusalemu na Yuda ilikuwaje ‘kama ya Sodoma’? (b) Isaya alaumu nani kwa sababu ya hali ya watu wake?
17 Isaya aendelea: “Yerusalemu umebomolewa na Yuda wameanguka, kwa sababu ulimi wao na matendo yao ni kinyume cha BWANA, hata wayachukize macho ya utukufu wake.
-
-
Yehova Huwafedhehesha Wenye KiburiUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Watu wa Mungu wamemwasi Mungu wa kweli kwa maneno na matendo.
-