Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Kumwona Mfalme Wao

      15. Ni ahadi gani itakayowategemeza wahamishwa Wayahudi waaminifu?

      15 Kisha Isaya ataja kidogo mambo yenye kusisimua kuhusu wakati ujao: “Macho yako yatamwona mfalme katika uzuri wake, yataona nchi iliyoenea sana.

  • “Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 33:17

  • “Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Ahadi ya Mfalme wa Kimesiya wa wakati ujao na Ufalme wake itawategemeza Wayahudi waaminifu wakati wa miongo mingi ya miaka wakiwa uhamishoni huko Babiloni, hata ingawa waweza tu kuuona Ufalme huo kwa mbali. (Waebrania 11:13)

  • “Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 16. Watu wa Mungu ‘wamemwona’ Mfalme wa Kimesiya tangu lini, na tokeo limekuwa nini?

      16 Ijapokuwa maneno ya Isaya yatoa uhakikishio wa kurudishwa kutoka utekwani Babiloni, itabidi Wayahudi mmoja-mmoja wangojee ufufuo ili wapate utimizo kamili wa sehemu hii ya unabii huo. Namna gani watumishi wa Mungu leo? Tangu mwaka wa 1914, watu wa Yehova ‘wamemwona,’ au kumtambua, Mfalme wa Kimesiya, Yesu Kristo, katika uzuri wake wote wa kiroho. (Zaburi 45:2; 118:22-26)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki