-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
17. (a) Ni ahadi gani zinazotolewa kuhusu Sayuni? (b) Ahadi za Yehova kuhusu Sayuni zatimizwaje kwa Ufalme wa Kimesiya na kwa wale wanaouunga mkono duniani?
17 Isaya aendelea: “Angalia Sayuni, mji wa sikukuu zetu; macho yako yatauona Yerusalemu umekuwa kao la raha; hema isiyotanga-tanga; vigingi vyake havitang’olewa, wala kamba zake hazitakatika.
-
-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Isaya atuhakikishia kuwa Ufalme wa Kimesiya wa Mungu hauwezi kung’olewa wala kuharibiwa. Isitoshe, kwa wazi ulinzi huo unawafikia watu waaminifu duniani leo wanaounga mkono Ufalme. Hata ikiwa watu wengi mmoja-mmoja wajaribiwa vikali, raia za Ufalme wa Mungu wamehakikishiwa kwamba juhudi zozote za kutaka kuwaangamiza wakiwa kutaniko hazitafaulu kwa vyovyote. (Isaya 54:17)
-