-
Mbingu Mpya na Dunia MpyaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
6, 7. (a) Ni ahadi zipi tukufu anazofumbua Yohana, na ni akina nani watakaofurahia baraka hizo? (b) Isaya anaelezaje habari ya paradiso ambayo ni ya kiroho na kimwili pia?
6 Yohana aendelea kusema: “Na yeye atapangusa kabisa kila chozi kutoka macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala hakutakuwapo kuomboleza wala kuguta wala umivu tena. Vitu vya kwanza vimepitilia mbali.” (Ufunuo 21:4, NW) Kwa mara nyingine tena, tunakumbushwa juu ya ahadi zilizovuviwa za mapema zaidi.
-
-
Mbingu Mpya na Dunia MpyaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
7 “Ndipo,” asema Isaya, “macho ya vipofu yatafumbuliwa, na masikio ya viziwi yatazibuliwa.” Naam, “ndipo mtu aliye kilema ataruka-ruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba” kwa nderemo. (Isaya 35:5, 6)
-