Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Wafarijini Watu Wangu’
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 40:9

  • ‘Wafarijini Watu Wangu’
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 13 Katika nyakati za Biblia, wanawake walikuwa na desturi ya kusherehekea ushindi, wakipaza sauti au wakiimba habari njema za mapigano waliyoshinda au za kitulizo kinachokuja. (1 Samweli 18:6, 7; Zaburi 68:11) Isaya aonyesha kwa unabii kwamba kuna habari njema kwa wahamishwa Wayahudi, habari zinazoweza kutangazwa kwa sauti kubwa bila hofu, hata kwenye vilele vya milima—Yehova atawaongoza watu wake kurudi kwenye jiji wanalolipenda, Yerusalemu!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki