-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Lebanoni nayo hautoshi kwa kuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa kafara.
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Tuseme kwamba mtu fulani angejenga madhabahu kubwa mno na kutumia kuni zote zinazofunika milima ya Lebanoni kwenye madhabahu hiyo. Kisha atoe dhabihu ya wanyama wote walio katika milima hiyo. Hata matoleo hayo yote hayangemfaa Yehova.
-