-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Mataifa yote huwa kama si kitu mbele zake; huhesabiwa kwake kuwa duni ya si kitu, na ubatili.”—Isaya 40:15-17.
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kana kwamba mfano uliotumiwa hadi sasa hautoshi, Isaya atoa taarifa yenye nguvu hata zaidi—mataifa yote “si kitu” machoni pa Yehova.—Isaya 40:17.
-