-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
“Mtanifananisha na nani, basi, nipate kuwa sawa naye? asema yeye aliye Mtakatifu.
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
24. Huku akijisemea mwenyewe, Yehova aonyeshaje kwamba hakuna anayelingana naye?
24 Mtakatifu wa Israeli anajisemea mwenyewe. Ili kuonyesha kwamba hakuna anayelingana naye, Yehova aelekeza fikira kwenye nyota za mbinguni.
-