Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Wafarijini Watu Wangu’
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 26, 27. Fikira za wahamishwa huko Babiloni zafafanuliwaje, nao wapaswa kujua mambo gani?

      26 Akitambua kwamba kuishi utekwani kwa miaka mingi kutapunguza ari ya wahamishwa Wayahudi, Yehova ampulizia Isaya kuandika mapema maneno haya yenye kitia-moyo: “Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, BWANA asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?

  • ‘Wafarijini Watu Wangu’
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 40:27,

  • ‘Wafarijini Watu Wangu’
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 27 Isaya aandika maneno ya Yehova yanayoeleza fikira za wahamishwa huko Babiloni, mamia ya kilometa kutoka nchini kwao. Wengine waona kwamba Mungu wao haioni au haijui “njia” yao, yaani, mwendo mgumu wa maisha yao. Wanafikiri kwamba Yehova hajali ukosefu wa haki unaowapata.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki