-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.”—Isaya 40:29-31.
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ingawa hivyo, Yehova aahidi kuwapa wale wanaomtumaini nguvu, nguvu kamili za kukimbia na kutembea. Kielezi cha tai, ndege mwenye nguvu awezaye kupaa kwa saa kadhaa pasipo kutua kana kwamba hatumii nguvu, kimetumiwa kuonyesha jinsi Yehova anavyowapa watumishi wake nguvu.d Huku wakiwa na matarajio hayo ya kutegemezwa na Mungu, wahamishwa Wayahudi hawana sababu ya kufa moyo.
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
d Tai huelea kwa kutumia nguvu kidogo sana. Yeye hufanya hivyo akitumia kwa ustadi mawimbi yanayoinuka ya hewa joto.
-
-
‘Wafarijini Watu Wangu’Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kwa sasa, hatuhitaji kuvumilia kwa nguvu zetu wenyewe. Yehova, ambaye nguvu zake haziwezi kwisha, aweza kuwatia nguvu watumishi wake katika nyakati za majaribu, “nguvu ipitayo iliyo ya kawaida.”—2 Wakorintho 4:7.
-