-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Mkombozi Aitwa
6. Nabii anamfafanuaje mshindi wa wakati ujao?
6 Kupitia Isaya, Yehova anatabiri mshindi atakayeokoa watu wa Mungu kutoka Babiloni na pia ahukumu adui zao. Yehova anauliza hivi : “Ni nani aliyemwinua mmoja atokaye mashariki, ambaye katika haki amemwita mguuni pake? ampa mataifa mbele yake, na kumtawaza juu ya wafalme [“kumfanya aende akitiisha hata wafalme,” “NW”]; awatoa wawe kama mavumbi kwa upanga wake, kama makapi yaliyopeperushwa kwa upinde wake.
-
-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
7. Ni nani mshindi anayekuja, naye anatimiza nini?
7 Ni nani aliyeinuliwa kutoka sehemu za mashariki? Nchi za Umedi-Uajemi na Elamu ziko mashariki ya Babiloni. Koreshi Mwajemi apiga miguu kutoka huko pamoja na majeshi yake hodari. (Isaya 41:25; 44:28; 45:1-4, 13; 46:11) Ingawa Koreshi si mwabudu wa Yehova, yeye anatenda kupatana na mapenzi ya Yehova, yule Mungu mwenye haki. Koreshi anatiisha wafalme, nao wanatawanywa kama vumbi mbele yake.
-
-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kufikia mwaka wa 539 K.W.K., Koreshi afikia jiji hodari la Babiloni na kulipindua. Basi watu wa Mungu wanafunguliwa ili warudi Yerusalemu kuanzisha upya ibada safi.—Ezra 1:1-7.c
-