Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wenye Kufariji Unaokuhusu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 9-11. Mataifa yanatendaje Koreshi anaposonga mbele?

      9 Isaya sasa anaeleza jinsi mataifa yanavyotenda kuhusu mshindi huyo wa wakati ujao: “Visiwa vimeona, vikaogopa; ncha za dunia zilitetemeka; walikaribia, walikuja. Wakasaidiana, kila mtu na mwenzake, kila mtu akamwambia ndugu yake; Uwe na moyo mkuu.

  • Wenye Kufariji Unaokuhusu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 41:5-

  • Wenye Kufariji Unaokuhusu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 10 Yehova anachunguza tamasha ya ulimwengu kwa kutazama miaka 200 hivi inayokuja. Majeshi hodari yanayoongozwa na Koreshi yanaenda kasi, yakishinda wapinzani wote. Jamii za watu—hata wakaaji wa visiwa, walio mbali kabisa—wanatetemeka anapokaribia. Wanaungana kwa hofu kupinga yule ambaye Yehova ameita kutoka mashariki atekeleze hukumu. Wanajaribu kutiana moyo, wakisema: “Uwe na moyo mkuu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki