Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wenye Kufariji Unaokuhusu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Nitafunua vijito vya maji juu ya vilima, na chemchemi katikati ya mabonde; nitageuza jangwa kuwa ziwa la maji, na mahali pakavu kuwa vijito vya maji.

  • Wenye Kufariji Unaokuhusu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 41:17-

  • Wenye Kufariji Unaokuhusu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Naye Yehova anawabariki. Katika unabii wa baadaye, Isaya anatabiri hivi: “BWANA ameufariji Sayuni; amepafariji mahali pake palipokuwa ukiwa; amefanya jangwa lake kuwa kama bustani ya Edeni, na nyika yake kama bustani ya BWANA.” (Isaya 51:3) Hilo linatukia kikweli Wayahudi wanaporudi kwao.

  • Wenye Kufariji Unaokuhusu
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Waaminifu hao walibarikiwa kwa paradiso ya kiroho yenye utele, bustani ya Edeni ya mfano. (Isaya 11:6-9; 35:1-7) Karibuni, Mungu atakapoharibu adui zake, dunia nzima itageuzwa iwe paradiso halisi, sawa na vile Yesu alivyomwahidi mtenda-maovu juu ya ule mti.—Luka 23:43.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki