Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hatalia, wala hatapaza sauti yake, wala kuifanya isikiwe katika njia kuu.

  • “Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 42:1-

  • “Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 7. Kwa nini unabii ungeweza kusema kwamba Yesu ‘hangepaza sauti yake, wala kuifanya isikiwe katika njia kuu’?

      7 Lakini ni kwa nini unabii unasema kwamba Yesu “hatapaza sauti yake, wala kuifanya isikiwe katika njia kuu”? Kwa sababu hakujipeleka kwa majivuno, kama walivyofanya watu wengi wa siku zake. (Mathayo 6:5) Akiponya mwanamume mkoma, Yesu alimwambia hivi mtu huyo aliyeponywa: “Angalia kwamba huambii mtu yeyote hata jambo moja.” (Marko 1:40-44) Yesu hakujitangaza na kuwafanya watu wakate kauli kutokana na uvumi, bali alitaka wao wenyewe watambue mambo kwa msingi wa ushuhuda imara ulioonyesha kwamba ndiye Kristo, Mtumishi mtiwa-mafuta wa Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki