-
“Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Jangwa na miji yake na ipaze sauti zao, vijiji vinavyokaliwa na Kedari; na waimbe wenyeji wa Sela, wapige kelele toka vilele vya milima.
-
-
“Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
20 Wakaaji wa miji, wa vijiji jangwani, wa visiwa, hata wa “Kedari,” au kambi zilizopigwa katika majangwa—watu kila mahali—wanahimizwa wamwimbie Yehova wimbo wa sifa.
-