-
“Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
27 Lo, Israeli ameshindwa kwa njia ya kusikitisha kama nini! Kila mara watu wake wanaangukia ibada ya miungu-mashetani ya mataifa. Tena na tena, Yehova anaendelea kuwatuma wajumbe wake, lakini watu wake hawasikii. (2 Mambo ya Nyakati 36:14-16)
-
-
“Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ni nani aliye kipofu, ila mtumishi wangu? au aliye kiziwi, kama mjumbe wangu nimtumaye? Ni nani aliye kipofu, kama yeye aliye na amani? naam, kipofu kama mtumishi wa BWANA?
-