Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya anatabiri matokeo: “Watu hawa ni watu walioibiwa [“walioporwa,” “NW”] na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.

  • “Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 42:22

  • “Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 28. (a) Tunaweza kujifunza nini kutokana na mfano wa wakaaji wa Yuda? (b) Tunaweza kutafuta kibali cha Yehova jinsi gani?

      28 Kwa sababu wakaaji wake si waaminifu, Yehova anaruhusu nchi ya Yuda iporwe na kutekwa nyara mwaka wa 607 K.W.K. Wababiloni wanachoma hekalu la Yehova, wanafanya Yerusalemu ukiwa, na kupeleka Wayahudi mateka. (2 Mambo ya Nyakati 36:17-21)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki