Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 6. Yehova anajionyeshaje kuwa Mungu wa haki kwa kuwafidi (a) Israeli wa kimwili? (b) Israeli wa kiroho?

      6 Yehova anaahidi kuwakomboa watu wake kutoka Babiloni kwa kutumia majeshi ya Umedi na Uajemi. (Isaya 13:17-19; 21:2, 9; 44:28; Danieli 5:28) Kwa kuwa Yehova ni Mungu wa haki, atawalipa “wafanyakazi” wake Wamedi na Waajemi fidia inayofaa kwa kubadilishana na Israeli. “Nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.

  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 43:3b,

  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Historia inathibitisha kwamba Milki ya Uajemi ilishinda Misri, Kushi (Ethiopia), na Seba iliyo karibu, sawa na vile Mungu alivyotabiri. (Mithali 21:18) Vivyo hivyo, mwaka wa 1919 Yehova alimtumia Yesu Kristo kuwafungua mabaki ya Israeli wa kiroho katika utekwa. Hata hivyo, Yesu hakuhitaji thawabu yoyote kwa huduma zake. Yeye hakuwa mtawala mpagani. Tena alikuwa akikomboa ndugu zake mwenyewe wa kiroho. Tena, Yehova alikuwa amekwisha kumpa “mataifa kuwa urithi [wake], na miisho ya dunia kuwa milki [yake]” katika mwaka wa 1914.—Zaburi 2:8.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki