-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Hata miisho ya dunia haitakuwa mbali mno kwa Yehova wakati wake ufikapo wa kuwaweka huru wana wake na binti zake, na kuwarudisha kwenye nchi yao kipenzi. (Yeremia 30:10, 11) Bila shaka, wao wanaona kwamba ukombozi huu wa sasa utaupita kwa mbali ule ukombozi wa mapema wa taifa hilo kutoka Misri.—Yeremia 16:14, 15.
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
nitaiambia kaskazi, Toa; nayo kusi, Usizuie; waleteni wana wangu kutoka mbali, na binti zangu kutoka miisho ya dunia.
-