Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hata hivyo, upendo wa nabii huyo kwa Mungu hauwezi kulingana na upendo ambao Mungu ameonyesha “shamba lake la mizabibu”—taifa ‘alilolipanda.’—Linganisha Kutoka 15:17; Zaburi 80:8, 9.

      9. Yehova amelitunzaje taifa lake kama shamba la mizabibu lenye kuthaminiwa?

      9 Yehova ‘alilipanda’ taifa lake katika nchi ya Kanaani

  • Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • “Zabibu-Mwitu”

      13. Yehova atalifanyaje shamba lake la mizabibu kwa kuwa lazaa matunda mabovu?

      13 Baada ya kufanya kila jambo linalowezekana ili kulitunza na kulilima shamba lake la mizabibu, Yehova ana haki ya kutarajia liwe “shamba la mizabibu la mvinyo.” (Isaya 27:2) Hata hivyo, badala ya kuzaa matunda yawezayo kutumiwa, lazaa “zabibu-mwitu,” kihalisi “vitu vinavyovunda” au “matunda yanayovunda (yaliyooza).” (Isaya 5:2; NW, kielezi-chini; Yeremia 2:21)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki