-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
15. Yehova anatoa unabii gani kuhusu Babiloni?
15 “BWANA, Mkombozi wenu, Mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Kwa ajili yenu nimetuma ujumbe Babeli nami nitawashusha wote mfano wa wakimbizi [“nitafanya mapingo ya magereza yaanguke chini,” “NW”], naam, Wakaldayo, katika merikebu zao walizozifurahia [“katika meli zao wakilia vilio virefu vikali vya kuomboleza,” “NW”].
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
16. Ni nini kitakachopata wafanyabiashara Wakaldayo, na watu wowote wanaotaka kulinda Babiloni?
16 Babiloni ni kama gereza la wahamishwa hao kwa kuwa inawazuia kurudi Yerusalemu.
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wafanyabiashara Wakaldayo wanaopita-pita katika mifereji ya Babiloni—yale mapito ya maji yanayotumiwa na maelfu ya merikebu za kibiashara na mashua zinazobeba miungu ya Babiloni—watalia kilio kirefu kikali cha kuomboleza wakati jiji lao kuu lenye nguvu liangukapo.
-