-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
atoaye gari na farasi, jeshi la askari na uwezo; wamelala, hawataondoka; wametoweka, wamezimwa mfano wa utambi.”—Isaya 43:14-17.
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Magari ya vita ya Babiloni yenye mbio yatakuwa bure, kama magari ya Farao katika Bahari Nyekundu. Hayataokoa jiji hilo. Kama vile ilivyo rahisi kuzima taa ya kibatari, mvamizi atauzima fyu uhai wa watu wowote wanaotaka kulinda jiji hilo.
-