-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wanyama wa kondeni wataniheshimu, mbweha pia na mbuni; kwa sababu nimewapa maji jangwani, na mito nyikani, ili kuwanywesha watu wangu, wateule wangu;
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Katika nchi hiyo tasa, Yehova atawafanyia “njia,” awafanyie maajabu yatakayowakumbusha yale aliyowafanyia Waisraeli siku za Musa—ndiyo, awalishe jangwani hao wenye kurudi, azime kiu yao kwa mito ya hakika. Yehova atawapa vitu vingi hivi kwamba hata wanyama wa mwituni watamtukuza Mungu waepuke kuwashambulia.
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Na wanapata shangwe iliyoje wakati umati mkubwa wa waandamani wao ‘wasio Waisraeli’ wanapojiunga nao! Mabaki na pia waandamani wao wanaendelea kufurahia mlo mnono wa kiroho mkononi mwa Yehova, tofauti kabisa na watu wanaotegemea mfumo wa Shetani. (Isaya 25:6; 65:13, 14) Watu wengi wenye tabia za kinyama wamebadili njia zao na kumtukuza Mungu wa kweli baada ya kuona baraka ya Yehova juu ya watu wake.—Isaya 11:6-9.
-